IFTAR FUNDRAISING EVENT FOR MASJID BUILDING HELD @ ALBERT HALL ILFORD, UK {PICTURES].

Dr. Mohammed Salim akifungua shughuli hiyo
Mawaidha yaikendelea

Sheikh Ally Sungura akitoa mawaidha

Meza kuu


CEO wa Serengeti Freight (Mohsin & Chris Lukosi) na Dullah Meru (mume wangu) wa Meru Services
Zaharani an Amos Msanjila kutoka ubalozini walikuwepo
Watoto pia walikuwepo

Hans, Abeid (my kaka), Mohsin, Badi, Chris Lukosi, na Richard wakifuatilia mwaidha kwa makini



Chakula kikiandaliwa

Mambo ya Biriyani ya Mwl Khamis
Tende zilihusika pia
Chapati
Vitumbua
Katlesi



























Dewji wa East African Cargo nae alikuwepo




Ustadh Shabaan Uwesu akipata ftari















Mashallah wanangu pendeza sana
Shenaz, Newin & Tara



Sameera & Twalhat
Shosti wangu Bhoke, Mrs Meru aka Mama Iman & My wii Rahma

Twalhat, Bhoke & Moi


Twalhat, Bhoke, Shenaz & Rahma

Twalhat, Bhoke, Shenza & Muke ya Dullah Meru

Mariam Mungula, Twlhat, Abuu Faraji, Rahma, Dullah Meru, Atiki & Said Surur


My hubby with Jaffer the best driving instructor (more details on Jaffer coming soon)
Meru Services ikiwakilisha

Alhamdulilahi the event was a huge success and we will soon announce to you how much was raised on the night. 
Thanks to the organisers & to all those who attened and made this event a success, may God bless you all.
Meru Services Limited
Shenhill Limited
Serengeti Freight
Swift Freight
East Africa Cargo
Jestina George Blog
Said Maskini
East Africa Education Foundation
Ally Muhidin wa TanzaniaOne Blog
And all companies we forgot to mention

Comments