Birthday girl tayari kwa kwenda kusherekea siku yake na watoto yatima |
Ma cake yakumwaga |
Kajala akiwa na watoto TMT wakimuimbia wimbo wa Happy Birthday |
Birthday girl akikakta cake |
![]() |
Mtangazaji wa kipindi cha Take One kinacho rushwa na Clouds TV akiwa katika pose na Kajala na ninamini very soon tutaona tukio zima kweney luniga zetu |
![]() |
Baadhi ya marafiki wa Kajala waliomsindikiza katika tukio hilp kutoka kushoto ni Bilal Seduction, Radhya, Kajala, Zamaradi na Junaithar |
![]() |
Ok Wema pia alihusika habari ndo hiyo #okbye |
![]() |
BFF Kajala & Wema |
![]() |
Hi cake imetoka Segrea kwa waliokuwa wafungwa wenzake Kajala ni maupendo tu safi sana |
![]() |
Du hizi cake aiseee safi sana |
Happy Birthday and many happy returns Kajala.
Comments
Post a Comment