KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MIAKA 5 BARCELONA WAZIDIWA NGUVU YA KILA KITU NA PEP GUARDIOLA'S BAYERN MUNICH.

Vigezo vikionesha jinsi gani Barca walipozidiwa na mabingwa wa ulaya Bayen Munich.
{Mara ya mwisho Barcelona walizidiwa umilikiji wa mpira katika mechi ilikuwa ni may 2008 walipofungwa 4 -1 na real Madrid kwenye uwanja wa Bernabeu }

Comments