LULU ASHINDA TUZO YA MUIGIZAJI BORA WA KIKE (FILAMU ZA KISWAHILI) KWENYE ZIFF. on July 07, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Yap yap nyota ya Lulu inazidi kung'aa na jana usiku aliibuka mshinda kwenye ZIFF na kupata tuzo ya muigizaji bora wa kike katika filamu za kiswahili. Hongera sana kwa Lulu na tunamtakia kila la kheri huko mbeleni. Comments
Comments
Post a Comment