Tarehe 19 mwezi wa Saba NI Siku ya KUZALIWA kwa KRANTZ MWANTEPELE (CTO & author) ambaye NI MKURUNGEZI wa UFUNDI PIA MWANDISHi wa mtandao wa MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG
Hapa krantz mwantepele Ze blogger Akiwa na Mzee j kitime new Africa hotel Moja ya Hafla iliyowakutanisha mablogger na iliandaliwa na kampuni ya simu ya mikononi ya TIGO
Nawakaribisha katika sherehe yangu ya KUZALIWA tufurahi kwa pamoja na tuendelee kutembelea MWANAHARAKATI Mzalendo blog link NI www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com
Comments
Post a Comment