Collabo mpya na kali kutoka kwa wakongwe wa sanaa amabao walikuwa kimya na sasa wamerudi na kuvunja mziki wa hapa kwetu,local and international HIT. Haijawahi tokea ma MC wenye kipajii kikubwa cha hipop and rap kufanya kazi pamoja na producer mwenye track nzito Mr. kita...support movement ya track hii kali na tuna mengi yanayokuja na wewe ndo utakuwa wakwanza kuzipata.....shukrani za dhati zikufikie wewe ambaye utakuwa sambamba katika maendeleo ya mziki nchini.....Tunashukuru!....ahsante
....Biggieboss...cpwaa...Julio mr bigbrother.....
|
Comments
Post a Comment