SARA ALI'S GRADUATION DUA & IFTAR IN LONDON.

Sara Ali amelamba nondoz yake ya Bsc in Mathematics kutoka chuko kikuu cha Brunel
Mashallah Sarah looking fine behind with black is her proud mum Mariam Kilumanga

Mzee Matata akiongea machache
Sheikh Kaskucha na Abeid wakifuatila nasaha za mzee Matata
Mume wangu, Babu Kiondo na Abu Faraji
Abeid & Saad
Aunty Mariam na wageni waalikwa wakisikiliza nasaha
Mahanjumati
Sara & Mariam Mungula
Watoto pia walikuwepo
Mariam Mungul na Zamda wakiwa wanaweka mambo sawa
My wifi's wa ukwee Rahma & Mariam Mungula
Beautiful sister Sara & Maya
Maya akipakua msosi
Kabwe & Zamda
Mariam & Beatrice
Aunty Rose Kiondo & Mama Balozi  in the house
Aunty Patricia, Amina & Aunty Rose Kiondo
Mr Meru, Sara & Rahma
Meru Services & Swift Freight wakiteta jambo 
Babu Kiondo busy na Abu Faraji
Abeid akipata menu
Menu ilikuwa ya kutosha na tamu sana thanks aunty Mariam
Moi & My Sara
Congratulation Kisses
Maya, Sara, Beatrice, Maryam & Mama Sara Mariam Kilumanga
Sara na maunty zake
Mama Balozi, Amina, Aunty Rose Kiondo & Sara
Amina, Sara, Beatirce, Maryam & Mama Sara
Sara na mama zake



Muke ya Dullah Meru aka Mama yake Iman na Mama Blozi
Mariam Mungula, Mama Balozi,  Mama Meru
Beatrice & aunty Rose Kiondo


Mariam Kilumanga & The Merus
Wanawake tukiwezeshwa tunaweza, wanawake oyeeeeee

Comments