TANGAZO LA MSIBA LONDON.

Marehemu Maimuna Fatma Karumba
Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
 Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo Yamepangwa Kufanyika kesho Jumamosi 27 July 2013. Gharama za maziko ni £3000 tunaomba chochote ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote inwekee kwenye account ya
  MR A ALFAGHEE
Sort 09-01-27
Account Number 11832254
Santander.

Msiba uko nyumbani kwa mama  wa marehemu
134 BLEAM CLOSE
TOTTENHAM HALE
N17 9DQ

Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu
R.I.P MAIMUNA FATMA KARUMBA
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ)

Comments