VIDEO: RAIS OBAMA AKIAGWA NA KUREJEA MAREKANI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE TANZANIA.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Rais Barack Obama amerejea nchini Marekani baada ya kukamilisha ziara ya kiserikali ya siku mbili hapa nchni ikiwa ni sehemu ya ziara yake aliyofanya katika baadhi ya nchi za Africa zilizokusini mwa jangwa la Sahara.
sisi ilitakiwa tubebe mabango kumuuliza obama kuhusu uhusiano kati ya kampuni ya kifisadi ya umeme ya dowans na symbion, imekuaje jina limebadilishwa kinyemela wakt kesi ilikuwa bado, kwakweli mabadiliko nchini tanzania bado sana, tunampokea mtu kama huyu kwa shangwe namna ile! jamani nchi zote za magharibi ikiwepo marekani ni marafiki tu wakati wa mahitaji they are not friends indeed

ReplyDelete