Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda, akimkabidhi tuzo ya udhamini bora Meneja Malipo ya ziada wa Vodacom Tanzania, Liginiku Milinga,Kampuni ya hiyo iliibuka kidedea kwa kuwa mdhamini mkuu wa maonesho hayo na pia ilipata cheti kwa kushika nafasi ya pili katika sekta ya mawasiliano katika maonesho ya 37 ya kimataifa “sabasaba” yaliyofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Pamoja nao katika picha ni Waziri wa viwanda na biashara, Mh. Abdallah Kigoda. |
Comments
Post a Comment