WELCOME TO ZuRii FASHION & BEAUTY BOUTIQUE.

ZuRii Fashion & Beauty Boutique ndo habari ya Mujini Karibuni sana mjipatie pamba za ukwee, zenye viwango vya hali ya juu kwa bei nafuu.
 Look Good, Feel Good with ZuRii Fashion & Beauty Boutique
My Schoolmate was so happy with our service and she loved what she bought. Thank you mate

Happy customer Magie shopping 

Another happy customer Rehema
Get the look at ZuRii Fashion & Beauty Boutique 
Good quality at affordable prices. Karibuni sana msiogope
Mama AJ aka Elizabeth aka Mrs Haverkamp rocking a ZuRii top wahi ujipatie yako kabla hazijaisha na zikiisha zimeisha. 
M 2 The P nae alistop by kutusupport nawe karibu sana
Nikimkaribisha dukani
Upcoming Artist Mirror nae alitusupport why not u? Karibu sana mtu wangu
Nikiwa katika pose na Mirror
J Mo nae alitutembelea akatusupport thanks bro
Peace, Salute & one love to you too M2 The P
M2 the P Moi & Brother Adam Sizya asanteni sana kwa support yenu
M2 The P na J Mo wakishop
Wateja wangu walifurahi sana nawashukuru sana. Pamba kali ziko njiani stay Tuned nawepia unae soma karibu sana


Mtu wangu wa nguvu Millard Ayo nae alitutembela akatusupport. Nawe pia karibu sana utakutana na wadada wazuri na wachezi watakao kuhudumia vizuri sana. Customer Service is our No. 1 priority.
Dada Vero akimpa Millard maelezo kuhusu ZuRii Boutique huku Salama akiwa busy na kazi
Nikiwa na mtu wangu wa nguvu Millard Ayo
Thanks for the support Millard
Fellow Blogger all the way from Njombe nae alitusupport na anaendelea kutusupport asante sans Niko Mhapa mtemblee hapa SOKONI NI BONGO
Ladies outside ZuRii Fashion & Beauty Boutique
Bro Eddie & wife stopped by thank you.

ZuRii FASHION & BEAUTY BOUTIQUE PROVIDES AFFORDABLE, BEAUTIFUL, GOOD QUALITY, FASHIONABLE, BRAND, HANDBAGS, CLOTHES, SHOES & ACCESSORIES FOR KIDS & LADIES. MEN STUFF COMING SOON.
CALL US +255 65 918 9769/+255 752 019 597
WE ARE LOCATED AT: SINZA LEGHO
BEHIND ROMBO GREEN VIEW HOTEL
Opening Hours: 9am-8pm

PLEASE BEAR WITH US WHILE WE'RE STILL BUILDING OUR WEBSITE.

WELCOME/KARIBU

Like & follow us on Facebook 

Comments