AZAM SEA LINK EID SPECIAL OFFER.

EID SPECIAL:

Azam Sealink 1 imetoa punguza kubwa la Sikukuu ya Eid Ul Fitr!! Kwa Siku ya Jumanne (Tarehe 6 Agosti). 

Gharama ya Kwenda Na Kurudi kwa gari ni Sh 400,000/- 

Hii ni gharama za usafirishaji tu!! Documentation na Malipo ya bandari yatategemea aina ya gari 

Karibuni Sana..

Comments