Diamond Platnumz usiku huu afanya ufunguzi wa video yake mpya katika hoteli ya Serena na kumpatia zawadi ya gari mstaafu wa msondo ngoma Mzee Muhidini Gurumo
Mzee Gurumo akiwa kwenye gari lake alilozawadiwa na Diamond Platnumz
Le Mutuz akiwa na super star Diamond Platnumz
King of social media akiwa na stars wa Bongo movies
Le Mutuz akiwa Mchumba wa Diamond Platznum.
Le Mutuz and Actress Jackline Wolper.
Le Mutuz & Salma.
Le Mutuz & Sauda Mwilima.
Le Mutuz & Irene Uwoya.
-------------------------------
Le Mutuz King of all social Media networks na mabebs wakarezzzzzz kama vipi mjipange upya
Comments
Post a Comment