MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO YA BEN - NEW DEAL AFRICA DIPLOMATIC AWARDS 2012.


Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea tuzo na cheti ya BEN Diplomatic Awards-2012 toka kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara tarehe 19,8.2013.  Waziri Dkt. Mukangara alikabidhi tuzo hiyo kwa niaba ya Taasisi ya Bright Entertainment Network (BEN) na Newdeal  Africa ya Uingereza baada ya kuwa mshindi miongoni mwa waliowania kutoka nchi za Afrika, Carribean, Asia na Pacific katika jitihada za kuendeleza rasilimali watu katika Taifa kwa mwaka 2012.

PICHA NA JOHN LUKUWI 

Comments