Mchezaji kiungo wa FC Bayern München Franck Ribéry ndiye aliyechaguliwa kuwa ni mchezaji bora wa timu za ulaya 2012/13 UEFA na majaji wa mgazeti ya nchi za Ulaya yanayoandika habari za mchezo huo wa mprira wa miguu
Ribéry aliwashinda Lionel Messi kura (14) na Cristiano Ronaldo aliyepata kura (3) tu. |
Comments
Post a Comment