TANGAZO LA MSIBA DMV.

Familia ya ndugu Peter Milambo inasikitika kutangaza kifo cha Mama yetu mpendwa Jane Peter Masanja kilichotokea Dar es slaam,Tanzania Siku ya Alhamis Aug 1, 2013 Mida ya saa mbili Asubuhi katika hospital ya Hindu Mandal
Marehemu Jane Peter Masanja Enzi za uhai wake
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi Aug 3, 2013 huko Dar es Salaam, Tanzania.

Kwa wakazi wa Washington DC-DMV Msiba utakuwa kwa mtoto wa kwanza wa Mrehemu Peter Milambo.

  Anwani:- 2811 Nicholson st. #303, 
Hyattsiville MD 20782

Pia kutakuwa na misa ya kumuaga Siku ya Jumamosi Aug 3, 2013 saa 7: 00 PM moja Usiku.

Kama ilivyo kawaida yetu, ukipata muda mpigie simu au mtembelee nyumbani kwake ili kumpa pole kwenye kipindi hiki cha majonzi.

Kwa taarifa zaidi piga simu namba: Simu (202) 520-7205
  Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.


Comments