WAZEE WA KAZI WAKUTANA NA MHESHIMIWA PINDA LONDON.

Wazee wa kazi SERENGETI FREIGHT walikutana na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda alipofanya mkutano na Watanzania waishio UK

Pichani Mheshimiwa Pinda na Mama Pinda wakiwa kwenye picha ya pamoja na wazee wa kazi CHRIS LUKOSI kulia na Mohsin Kushoto



Comments