BLOGGERS TANZANIA WAPIGWA MSASA NA TCRA JIJINI DAR LEO.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini  wakiwa kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.

Comments

  1. MABLOGERS TAFADHALINI MSIPUMBAZIKE KUWEKA PICHA ZA NGONO TUMIENI BLOG ZENU KUELIMISHA JAMII KUANDIKA HABARI ZA MIKOA MBALIMBALI HASA VIJIJINI, SIOYO TU KUNDI LA MASTAR FULANI NDO KILA SIKU HAPANA KUNA MAMBO MENGI MAZURI TU YA KUELIMISHA JAMII HASA VIJIJINI. SIO KUPOTOSHA JAMII. FIKIRIENI NA KESHO HIKI KIZAZI KIJACHO KINAELIMIKA AMA MNAKIELIMISHAJE? TUNATAKA PIA MAMLAKA HUSIKA WATAYARISHE TUNZO ZA MABLOGER KAMA WANAVYOFANYA KWA WANAHABARI WA MAGAZETI NA KWINGINEKO , HII ITASAIDIA KUTOA HAMASA KWA MABLOGERS KUANDIKA HABARI ZA MSINGI NA WALA SI KUBOBEA KWENYE HABARI ZA KIPUUZI AMBAZO HAZINA FAIDA YEYOTE KWA MSOMAJI.

    ReplyDelete

Post a Comment