IRENE UWOYA AMSHUKIA SHIGONGO.

 Baada ya gazeti la Risasi kuandika habari na kudai kwamba msanii na superstar Irene Uwoya ametiwa mbaroni kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5 mwanadada huyo ameamua kupiga picha ukurasa wa mbele wa gazeti hilo na kuandika machache juu yake kupitia ukurasa wake wa fb ambapo amedai ana case na Shigongo ndo maana wameamua kumchafua. Soma alicho andika hapa chini:

Comments

  1. No body is perfect guys..!! stop hating each other!! I'm Uwoya's fun and I like her movies very much..!! She is cute na anajua kuigiza banaaa..!!! Let her be..!!! Go Irene...!

    ReplyDelete

Post a Comment