KANYE WEST AMTOLEA UVIVU RAY J

Kanye West decided it's finally time to destroy Ray J
Kanye alikuwa mgeni mualikwa kwenye  show ya "Late Night with Jimmy Fallon" ku perform nyimbo yake mpya "Bound 2" -- lakini wakati akiimba wimbo huo alibadilisha baadhi ya mashairi yake na kuanza kumuandama Ray:
"Brandy’s little sister lame man he know it now ... When a real brother hold you down, you ‘sposed to drown." kwa kipindi kikubwa kanye alikuwa amekaa kimya lakini sasa ameamuwa kumuondolea uvivu huyu dogo na kumpa jibu la wimbo wa Ray J, "I Hit It First" wimbo ambao   Ray alijisifu na kumkebehi Kanye kuwa ' Kim Kardashian alikuwa wa demu wake yeye kwanza kabla ya kukutana na Kanye.

Comments