Mary Lucos na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wao wa Skylight Band Juma lililopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Skylight Band imebarikiwa Kipaji kipya anajulikana kama Digna a.k.a Rihanna wa Bongo akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
Kikosi kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa huku kikiongozwa na Baba lao Joniko Flower kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita Thai Village Masaki jijini Dar.
Niache mie kwa raha zangu...Skylight Band ndio habari ya mjini wengine watasubiri sana....ndiyo maneno ya mwanadada huyo alipokuwa akipata Ukodak huku akijiachia.
Mdau William Malecela a.k.a LEMUTUZ akirekodi matukio kwenye simu yake huku wengine wakiendelea kuselebuka na Skylight Band.
Iye iyeeee Onanana Iye iye iyeeeeee......Mambo ya Sam Mapenzi mpaka wadada wanapagawa na kumwaga radhi kiasi hiki kwa utamu wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani.
Wadau wakimpongeza Swahiba wao aliyekuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa na kuimbiwa wimbo wa Happy Birthday na Skylight Band.....Karibu na wewe usheherekea Birthday yako Ijumaa hii.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akiwafundisha style ya kucheza mashabiki wake.
Kama kawaida shazi la kufa mtu kwa raha zao.
Swagga za Aneth Kushaba AK47.
Divas wa Skylight Band wakipozi kwa Ukodak...Kutoka kushoto ni Mary Lucos, Digna pamoja na Aneth Kushaba AK47 backstage mapumzikoni.
Birthday Girl Nawaal ( wa pili kushoto) akipata Ukodak na marafiki zake kwenye kiota cha Thai Village Masaki alipomalizia bata lake hapo baada ya kuporomosha pati la nguvu kusheherekea siku yake ya kuzaliwa Sea Cliff Hotel.
Jamani yataka moyo kweli sisi Makamera Man tunatabu...hebu cheki pozi la kimahaba hilo.
Wadau wakubwa wa Skylight Band nao walikuwepo akiwemo mdau Dimo Debwe.
All the way from Pretoria South Africa mdau Babu Sadick (kushoto) akiwa na shemeji zake wakila bata na Skylight Band.
Warembo wakipata Ukodak ndani ya Thai Village...Bata mwanzo mwisho na Skylight Band.
Wadau wa M-SOKA Reginald Melecky na Brian Mushi nao walikuwepo.
Mdau Hamidu (kulia) wa Young D Studio akitafakari maisha yanakoelekea na jinsi vijana wanavyojua kula bata jijini.
Babu wa Kitaa a.k.a BABU BOMBA akishow love na Rommy Jones Skylight Band.
Comments
Post a Comment