 |
Kupitia tovuti yake ya wasafii.blogspot.com Rais wa Wasafii aka Diamond Platnumz amefunguka na kuandika maneno yafuatayo baada ya kufanyiwa surprise nzuri sana na mpenzi wake Penny huku yakiandamana na picha ya tukio zima. Ametiririka hivi:
"Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku
yake ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa
mitindo tofauti tofauti kulingamna
na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu
jiulize how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa
unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
nilivyojiskia siku ya jana baada ya
kufanyiwa suprise ya birthday party
na kipenzi changu,Penniel pamoja
na Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima Kimwana
na familia yangu kwa ujumla. checkout picha zikijieleze zenyewe........"
|
 |
Ilikuwa ni baada ya kutoka kwenye uzinduzi wa Coke Studio, kufika nyumbani Diamond alipokelewa kwa bashasha na Dada yake Queen Darlin (aliyeshikilia cake) |
 |
Dada yake Diamond Esma (wapili kushoto) na mmoja wa rafiki wa familia yao pamoja na Shilole amabaye pia alikuwepo kusupport |
 |
Baby yake Penniel akamsuprise kwa Kiss mwanana kabisa , like duuuh!!! |
 |
Mambo ya maakuli yalihusika |
 |
Diamond na dada yake Queen Darlin |
 |
Na nukuu maneno ya Diamond "Na tuwaache washangae!!!!" |
Mapenzi moto moto chezea D & P
 |
Mambo yakahamia chumbani sasa . wooow!! |
Chezea Penny
Katulia tuliiii
 |
Kupendwa ndio huko.. |
Na wawaache mlaleeeeeeeeeeeeee
Mtu na wake aaaa safi sana
Caption this.....
 |
Love Birdsssssss |
 |
Picha ya pamoja na family Picha zote na maelezo kutoka Wasafi Blog |
Nice..kiroho safi tuu hayo mapazia na mamshuka yamekuangusha, kitanda kiko safi basi katafute nice beddings eeh mwanamke si ugoogle tu au ingia macys hela mnayo angalia mambo ya 800 count ee designer bed linens ndo ununue sio mashuka uloweka yes meupe i give u that but they dont look elegant at all they look cheap na nyie sio cheap people...na mapazia pliz get something nice ni hayo tuu
ReplyDeleteHizi adabu za wapi sasa, mkwe na mawifi kupiga picha chumbani tena juu ya kitanda anacholala mtoto na mkwe wake (wifi yao)? au sebule hawana watu hawa
ReplyDelete