KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII YAKUTANA NA WIZARA KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUGAWA FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA WANAWAKE NCHINI (WDF).

  Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,
wamekutana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto kujadili
mapendekezo ya kugawa   fedha  za mfuko wa Maendeleo ya Wanawake
(WDF). Kiasi cha Shilingi Bilioni mbili kimetengwa kwa mwaka huu wa
fedha kwa ajili ya kuzifikia Halmashauri zote nchini ili fedha hizo
zisaidie katika kuwawezesha Wanawake Kiuchumi.



Comments