Mwili wa aliyekuwa mtangazaji maarufu nchini, Julius Nyaisanga umeagwa rasmi leo mjini Morogoro ukielekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla nyingine ya kumuaga iliyopangwa kufanyika kesho Jumanne saa nne asubuhi katika uwanja wa Leaders, na baadaye siku hiyo kusafirishwa kwenda Tarime mkoani Mara kwa mazishi.
Comments
Post a Comment