RAY C AKAMILISHA ALBUM YAKE NA KUTONJESHA UJIO WAKE HUO.

Nguli wa muziki wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’amekamilisha albam ya nyimbo zake aliyokuwa akirekodi studio kwa miezi kadhaa. Kupitia mtandao wa instragram Ray C alisema kuwa….Album imekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Thank You Lord! Hivi karibuni msanii huyo alipost video na kuwaonjesha mashabiki wake ladha kidogo kati ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albam hiyo ambayo haijajulikana itaitwa jina gani.… Onja kidogo kwa kubofya play hapa chini....

Comments