RAY C AZIDI KUFUNGUKA KUHUSU ATARHI ZA MADAWA YA KULEVYA.

Baada ya kukumbwa na mapito mengi katika maisha yake mwanadada Ray C ambae amerudi katika game kwa nguvu mpya na kwa uwezo wa Mungu ame weza kuwa jasiri kwa kupost picha hizi (before & after drugs ) katika mtandao wake wa instagram. Japo kuwa watu wengi bado wana mkashifu na kumdhihaki lakini bado alionyesha ujasiri wake na kuandika ujumbe ufuato baada ya hizo comments. 
Well done Ray C & keep going Mungu yuko pamoja nawe. Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa.

Comments