Hongera sana sana my ndugu very proud of you |
Beautiful smile that says it all |
Vivian akiwa na ndugu zake walioenda kushuhudia tukio hilo |
Mama Vivian akiongea macheche kwenye hafla fupi ya kumpongeza mwanae |
Vivian Wema amelamba nondoz ya BSC in Politics & Management of Social Development.
JG Blog inatoa pongezi nyingi kwa Vivian Wema na kumtakia kila la kheri katika mipango yake yote ya mbeleni.
Comments
Post a Comment