WILFRED MOSHI NA MLIMA EVEREST [SEHEMU YA PILI].

Sehemu ya pili ya  "Wilfred Moshi na Mlima Everest" inaendelea kueleza kisa cha kusisimua na kutisha cha kijana  aliyekuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.
Je ilikuwaje?  Nini hasa maana ya safari hii iliyotupa sifa Watanzania duniani? Je ushujaa wake Wilfred Moshi unahusu nini hasa?

Urban Pulse Creative Media, Freddy Macha wakishirikiana na Ubalozi wetu Uingereza wanakuletea habari hii ya kusisimua kwa majuma matano mfufulizo ili tuone na kujifunza kutokana safari yake  ya hatari.

Comments