BEAUTIFUL ONYINYE WA TANZANIA ALIYEMPAGAWISHA PETER OKOYE WA P-SQUARE [PHOTOS & VIDEO].

Huyu ndo mrembo aliyepandashiwa jukwaani na Peter Okoye wa P-Square na kumtambulisha kama 'ONYINYE'  wa Tanzania. Maana ya Onyinye ni God's gift is the best/greatest.
 Alimpokea vizuri
 Akamkumbatia
 Nakumbusu
Kisha akaomba mkono wake
Na akamvalisha saa yake


Beautiful Onyinye kweli kweli
 Hapa akiendela kuimba ule wimbi wa Beautiful Onyinye
 Mambo ya Onyinye yakiendelea
Hehe yaelekea Peter anapenda wanawake weupe na mixed race maana mkewe nae ni mweupe na mixed race (just an observation).
Huyu ndiye 'Onyinye' halal wa Peter haha kitu half cast 

Check out the "Beautiful Onyinye" video below:

Images via Bongo5

Comments