Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha. Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na raia.
Source: Choice TZ
Damn bongo!she probably got dementia n shit!!help the sick..
ReplyDeleteAppaling!! I agree with above comment shes probably ill. The audacity of people to think she is a wirch! How the hell did they know if they are not witches themselves. Shame on you people. Respect the elderly
ReplyDelete