DIVA AONGELEA RUMOURS ZINAZOENDELA KUHUSU YEYE KUACHWA NA PREZZO [VIDEO].

Make sure unaangalia hii video na ni bora ukasikia from the horses mouth
big up kwa media zote na blog zinazoandika ukweli and boooooo gazeti la visa na wengine mnaozusha na hii ndio ukweli halisi kwa diva kwenda kwa mashabiki wake
asanteni na Diva anawapenda sana ………………..angalia hio video kupata ukweli halisi

Comments