USAHILI WA KUTAFUTA WANAMITINDO WATAKAO FANYA FASHION SHOW ILIYOANDALIWA NA INTERNATIONAL TANZANIAN FASHION STYLIST RIO PAUL AMBAYE HIVI KARIBUNI ANATARAJIWA KUZINDUA COLLECTION YAKE YA TATU YA MAVAZI , PAMOJA NA LINE YAKE YA VIATU. AKISINDIKIZWA NA WABUNIFU WA NDANI NA NNJE YA NCHI. FASHION NIGHT OUT 2013 DAR ES SALAAM ITAFANYIKA TAREHE 30 MWEZI NOVEMBER NA ITAKUA NI USIKU WA KUSHEREKEA TASNIA YA MITINDO TANZANIA IKILETA KARIBU WADAU MBALIMBALI WA MASUALA YA MITINDO.
USAHILI ULIFANYIKA : TAREHE JUMAMOSI YA TAREHE 16 NOVEMBER KATIKA UKUMBI WA THE TERRACE ,SLIPWAY, NA ULIJUMUISHA ZAIDI YA WANAMITINDO MIA MOJA KATI YA HAO NI KUMI NA SITA TU NDIO WALIPITA.
MAJAJI KUANZIA UPANDE WA KUSHOTO NI : STELLA ERNST WA IMAGE 360, MBUNIFU WA MAVAZI LUCKY PETER , MFANYABIASHARA AMIR, CEO WA GONGA ENTERTAINMENT BWANA FRANK MGOYO NA DIRECTOR WA ALLURE INTERNATIONAL BIBI JACQUELINE HAIDER.
Comments
Post a Comment