MHE. JANUARY MAKAMBA NA LADY JAY DEE WATOFAUTIANA MAWAZO TWITTER.

Lady Jaydee aka Anaconda amemjibu Mhe. January Makamba live mara baada ya mheshimwa huyo kuandika post inayo husu kupromte wamamuziki  na wasanii  wa Tanzania kupitia twitter yake.  Hebu cheki mambo yalivyo kuwa. 
Duh Anacoda katisha live. 

Comments

  1. Namuunga mkono sisi kazi yetu kashangilia wenzetu vyetu tunatupa. Wakati ukitazama Pop ilianzia Tanzania na tuko nyuma mno kimziki. Hata mtu ujitahidi vipi kuleta mapigo mapya wapi wanaona bora vya nje au mtu ufanye sijui Bongoflava baada kufikiri mziki unakua na mapigo yanatakiwa yabadilike kama tunataka kufikia viwango vya kimataifa. Msanii nyumbani hapati support kama msanii mkubwa wa nje wanasema wale si wakubwa? Sababu ya ukubwa wao ni support waliyopata kwenye nchi zao. Natumaini tutabadili mwenendo huu na kuonyesha umahiri wa wasanii kwani vipaji vipo vya kutupa tuu Bongoland!

    ReplyDelete

Post a Comment