Jamaa huyu alikutwa na pweza mkavu, vimbegu na makaratasi yenye michoro ambayo inaaminika kuwa ni ya kishirikina aka Black Magic. Alirudishwa TZ kama kasimama vile na vitu vyake kuchowa moto. Mcheki kwenye dakika ya 35:00 katika video hii hapa chini. |
Comments
Post a Comment