TANGAZO LA MSIBA DAR EAS SALAAM KWA DKT KESI MTAMBO.

Marehemu Jeffa Othman Kessi
Dkt Kesi Mtambo anasikitika kutangaza kifo cha Mjukuuu wake Jeffa Othman Kessi Mtambo kilichotokea usiku huu.  
Mazishi yatafanyika leo Jumamosi Novemba 23, 2013 saa 7 Adhuhuri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. 
Msiba upo Mtaa wa Nyati nambaa 11 Kariakoo, Fire, hapa Dar es salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote walipo.
Inalilahi Waina Ilayhi Rajiun

Comments