VIKAO VYA HARUSI YA WILLIAM MALECELA aka LE MUTUZ VYA ANZA RASMI.


  • Chafanyika Mpiji Beach Kigamboni
  • Chaongozwa na billionaire Super Mogul Davis Mosha
  • Mabillionaire wengine wengi wa mujini wahudhuria
  • Itakuwa harusi ya kibillioner hakuna michango 


Bwana harusi mtarajiwa William Malecela aka Le Mutuz Big Show Baharia King of all Social Media Networks akiwa katika pose kwenye kitu kipya aina ya Range Rover Autobiography 2013 inayo milikuwa na Super Mogul Davis Mosha Mkurugenzi wa Delina Inc. 
 Bwana harusi mtarajiwa akipunga upepo wa bahari.


 Kikao kikiendelea
 Mambo mazuri for Le Mutuz
 Le Mutuz na marafiki zake
Wazee wa mujini wenye utajiri wakutisha hehehe maneno ya Le Mutuz hayo
Hawa ndo marafiki  billionaire wa Le Mutuz mara wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao hicho cha harusi kilicho ongozwa na Super Mogul Davis Mosha wa Delina aliyevaa miwani wa pili kulia na Mtanzania mwingine mwenye utajiri wa ajabu Duniani mwenye fulana nyekundu Super Ali owner wa Lake Oil Company. 
JE UTAALIKWA????

Comments

  1. bro Le mutuz una miaka mingapi,

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo ndugu zake hana? Na mwanaume kamili unaenda kupiga picha kwenye gari ya mwanaume mwenzako wewe mwandishi na yeye wote mach..o tu

    ReplyDelete

Post a Comment