WABUNGE WA TANZANIA WATEMBELEA OFISI ZA SERENGETI UK.

WABUNGE WA MUUNGANO AMBAO WAKO ZIARANI UK WALIPATA FURSA YA KUTEMBELEA OFISI ZA WAZEE WA KAZI SERENGETI, KAMPUNI AMBAYO INAMILIKIWA NA WATANZANIA  WAISHIO UK. PAMOJA NA MENGI WALIYOYAONA OFISINI HAPO, PIA WALIWEZA KUSHUDIA JINSI UKAGUZI WA MAGARI UNAVYOFANYIKA KWA KUTUMIA MASHINE ZA KISASA. 
MSAFARA HUO WA WABUNGE KUMI ULIONGOZWA NA MHESHIMIWA HAMIS KIGWANGALLA AMBAYE MBUNGE WA NZEGA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA SERIKALI ZA MITAA.
 WABUNGE WALIFURAHISHWA KUONA JINSI VIJANA WA KITANZANIA WALIVYOWEZA KUJITENGENEZEA AJIRA WENYEWE WAKIWA UGENINI 
KATIKA TUKIO AMBALO LILIVUTIA WENGI NI PALE MBUNGE WA SERENGETI MHSEHIMIWA DR KEBWE ALIPOSEMA ANAJISIKIA YUKO JIMBONI KWAKE NA KUFURAHI SANA KUONA JINA LA SERENGETI LINAVUMA KILA KONA ZA UK.


Comments