WATU 7 WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 18 WAJERUHIWA KATIKA AJALI TANGA [VIDEO].

Watu saba wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa vibaya baada ya magari mawili ya abiria yanayofanya safari zake kutoka jijini Tanga kwenda wilayani Korogwe kugongana uso kwa uso 

Comments