WILFRED MOSHI NA MLIMA EVEREST [SHEHEMU YA NNE].

Wilfred Moshi akiwa kileleni Mt. Everest
Wilfred Moshi na Mlima Everest ni Documentari inayozungumzia safari ya kusisimua na kutisha ya Kijana shujaa wa Kitanzania anayefanya kazi ya upagazi kwa kuwahudumia watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro nchini. Wilfred alieweka maisha yake rehani kwa ajili kuweka rekodi mpya ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest ambao ni mlima mrefu kuliko yote duniani na kuiletea Tanzania sifa kubwa Kimataifa.

Comments