BASI LA HOOD LAPATA AJALI MOROGORO.

  • Mtu mmoja afariki dunia
  • 27 wajeruhiwa

Wakazi wakishuhudia basi la kampuni ya Hood lililopinduka jioni hii maeneo ya Doma,Morogoro. 
Upande wa chini wa basi la Hood 
Wakazi wa eneo la Doma nje kidogo ya mji wa Morogoro wakitafakari tukio kwa huzuni.
Picha na Junior Matukuta

Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela Mvomero, Mkoani Morogoro.

Comments