DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA AONESHA VIDEO YAKE YA NUMBER 1 REMIX KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU


"SOMA HAPO CHINI ALICHOKIANDIKA RAIS WA WASAFI"
Kama nilivyotangulia kusema awali kuwa,hawa
 watoto ndiyo mashabiki wetu wakubwa,na mara 
nyingi hawapati fursa ya
 kuhudhuria maonyesho yetu
 ama kukutana na
 sisi..hivyo kutokana na kuwa awali,video 

ya number 1 version ya
 kwanza niliizndua kwa baadhi ya 
watu special pekee..awamu hii,video ya
 number one remix
 niliyoifanya na 
Davido wa Nigeria..nimeamua kuionyesha kwa
 mara ya kwanza kwa
 watoto waishio katika
 mazingira magumu..usisahau pia kuwa tarehe 25
 mwezi huu.mchana .pale Leaders club nitakuwa
 na tamasha  
special kwa  ajili ya watoto ambao wengi hawapati fursa ya
 kuona maonyesho yetu..na siku hiyo hiyo usiku
 tutakuwa Mwanza..get ready ...




 watoto wakiangalia kwa makini kabisa

 Nikisaini Kitabu cha wageni kabla sijaondoka

 Picha na habari: wasafii.blogspot

Comments