ERICK'MSENGII'NATIANOTA NA HERIETH WAMEREMETA.

Waliomeremeta wakiingia ukumbini kwa raha zao huku wageni waalikwa wakiwafurahia.
 Bwana Harusi Erick’Msengii’Natianota akimlisha cake mke wake kipenzi Herieth Kashangaki siku waliyoamua kuachana na ukapela hapo jana.
 Mambo ya kwaito hayo…saaafi
Hongera mdogo wangu alisikika akisema Bro Joe
Mrs Nkurlu akitoa hongera kwa waliomeremeta

Edna Kashangaki ambaye ni dada yake mkubwa na bi.Harusi akilia kwa furaha mara baada ya kuagana na mdogo wake.
 Wadogo zake bwana harusi wakiwa na nyuso za furaha kwa kaka yao kuoa.
Dada zake Bwana harusi wakiwa na nyuso bashashi na waume zao katika harusi hiyo iliyofana.
 Baba mzazi wa Bwana harusi Mzee Shanta Natianota,akiongea machache kwa wanae Erick na Herieth.
Wafanyakazi wenza na Bw.Harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Comments