Mwanadada Joyce Kiria ambya ni mfanyakazi wa ndani mstaafu amefunguka kupitia Instagram na kunadika yafuatyo kuhusu wadada wa kazi za ndani na hasa kuhusu kazi ya kupika.
Yaani huyu dada ana upeo wa ajabu sana sidhani kama wengi wetu tunalifikira hili pindi tunapo ajiri wasichana wa kazi. Salut to Joyce Kiria
Comments
Post a Comment