Jana tulireport habari kuhusu Chacha Makenge anae ishi na kuendesha maisha yake katika handaki alilolichimba katikati ya pori lililopo katika eneo la chuo kikuu jijini Dar es Salaam kwa miaka minne sasa. ITV imeweza kufika eneo hilo na kuongea na Chacha ambaye amefunguka na kuiitaka serikali kuwa na utaratibu wa kuratibu shuguli za vijana ili kulinda amani na usalama wa taifa.
|
Comments
Post a Comment