MTUHUMIWA WA MAUUWAJI YA PADRI MUSHI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA ZANZIBAR.

Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.

Comments