Mwanadada Mwamvita Makamba amekuwa mstari wa mbele katika kushauri mabinti kufanya kazi ili kujikwamua kimasha na kuacha kupenda dezo. Mwamvita aliandika yafuatayo kupita twitter:
Time to wake up & say "NO TO SEMBE" maana siyo mpango kabisa. Remember “There are no shortcuts to any place worth going.” Tafakari na chukua tahadhari. Love u all. #jestinageorgeblog #diasporablogger #saynotosembe
Comments
Post a Comment