NI KWELI JACKIE CLIFF NDIYE ALIYE KAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO MACAU CHINA [AUDIO].

Jackie akiwa kwenye picha na rafiki yake Cheif Rocka aliye thibithisha habari za kukamtwa kwake huko China. 
Amesema huyu ni Jackie na hakuna ubishi ubalozi pia umethibithisha habari hizo. Sikiliza kwa makini.

Source Bongo5.com

Baada ya kupost taarifa hii haya ni baaadhi ya maoni kutoka kwa wadau mbali mbali waliochangia mada hii kupitia facebook yangu


  • Aney Sabry Mungu wangu
    7 hours ago via mobile · Unlike · 3
  • Shamah Yussuf Yaaani acha tu I just can filter it kwa Kweli maskeen Juzi tu tumepiga picha Leo this it's sad
    6 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Daniel Owden EJ yaniii nimelia nimechoka jamani jaqline wangu mwenzenu . ..mungu msaidie
    6 hours ago via mobile · Unlike · 3
  • Kelvin Mtenga huyu mtoto si amekoswa koswa juzi juzi tu wakati bwana wake katiwa ndani kweli kutaka maisha ya gharama nomaaa
    6 hours ago · Edited · Unlike · 7
  • Wil Prince Lindalo Duh, shame!..... We reap what we sow....
    6 hours ago via mobile · Unlike · 3
  • Ally Aurora Parsalaw Enough With All The #Hate! Ni Bora YY Aliyehangaika Kuliko Wewe! Unayekaa Nyumbani Kungoja Msaada Wa Mzazi! 
    6 hours ago via mobile · Unlike · 3
  • Kelvin Mtenga hapa njia ni kutafuta mzizi wa haya mambo ,wanaowatuma hao mademu
    6 hours ago · Unlike · 2
  • Nusrat Semtawa Daaaaaahhhh its so sad wallah....
    6 hours ago via mobile · Unlike · 1
  • Mohammed Eddie Balu Lada Na mchina hana mchezo ni risasi tu
    5 hours ago via mobile · Unlike · 1
  • Michael Safari Mafu Dah...It's heart breaking...so sad man!
    5 hours ago via mobile · Unlike · 1
  • Naila Brown kila siku wanatangaza hizi habari, then watu wanaenda tena kufanya the same, kha! tuwafanyeje sasa? si ndio kazi wamechagua? wakafe mbele huko! tushachoka.
    4 hours ago · Unlike · 3
  • Ally Aurora Parsalaw The Nerve Of Some Idiots... To Wish Death Upon Others!
    4 hours ago via mobile · Unlike · 1
  • Mamaa Ya Prince Shortcut
    4 hours ago via mobile · Unlike · 1
  • Nusrat Semtawa JAMANI SIO VIZURI KUOMBEA WENZENU VIFO HAYA NI MAISHA TU NA MITIHANI TUMEUMBIWA CC WANADAMU..KUMBUKA HUJAFA HUJAUMBIKA....NA CC TUNA WATOTO NA NDUGU ZETU PIA..JE ANGEKUWA MWANAO AU NDUGUYO UNGEMUOMBEA AFEEE??? HAO WANASHAWISHIWA NA WATU WENYE PESA NA UGUMU WA MAISHA ULIOPO WANAJIKUTA WANAINGIA HUKO KWENYE MABALAA.....
    4 hours ago via mobile · Edited · Unlike · 4
  • Mohammed Eddie Balu Lada Everyone choose they're on destiny, unless ur one of them man
    4 hours ago via mobile · Edited · Unlike · 1
  • Zulfa Yahya Starehe garama kamponza mwenzie leo yeye dah demu anatumbo yote hayo
    4 hours ago via mobile · Unlike · 1
  • Ally Aurora Parsalaw Usilolijua... Ni Sawa Na Ucku Wa Giza..... Ulizeni Muambiwe
    4 hours ago via mobile · Like · 1
  • Zulfa Yahya Nampenda sana jack na nimesikia huruma sana lakini wakati binti kiziwi anakamatwa nilikuwa hong Kong, habari nilizo zisikia kutoka kwa watu walio kwenda kumtembelea zilinisikitisha so tunatunalolijua ndo maana twasema
    4 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Ally Aurora Parsalaw You Have 2 Be Part Of The Allies To Understand How This Game Plays!
    4 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Mohammed Eddie Balu Lada Wacha sheria ichukuwe mkondo wake.siwezi kumtetea hata dini zote zinapinga hayo mambo lipi zaid unataka hapo
    3 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Sarafina Lindiwe Msuya Everyone is entitled to make mistakes, but they should know in China now Tanzanian are being watched. I'm sure she will eventually get out & that should be a Lesson to learn!
    3 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Hanspope Mackwande Mbio za sakafuni.....starehe gharamaa. And "we reap wat we sow"
    3 hours ago via mobile · Like · 3
  • Wil Prince Lindalo Is drug trafficking the only business out there? - when our bros & sis are going to get emancipated from this form of mental entrapment?..., oh poor girl, I am sure she's been duped into trying it..
    3 hours ago via mobile · Unlike · 3
  • Sarafina Lindiwe Msuya No one can dupe her without her Concent remember she probably thought she will be lucky 2014..die trying kind of stuff but , would rather abebe box like the rest of us or do booze business out of China thou.. Just a food for a thought"
    3 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Naila Brown Strange how the world operates
    Yaani tusiwaombee wanaokufa na hizo drugs ila tuwaombee ambao have made their choices.
    Do they force them?
    2 hours ago via mobile · Unlike · 2
  • Naila Brown An idiot is someone anesikia kila siku Tanzania is being watched for drug trafficking and there she goes doing the same.
    Sishangai maana hata news au serious news sidhani kama wanazijua.
    Sad shyt.
    2 hours ago via mobile · Unlike · 5
  • Wil Prince Lindalo I would rather be poor materialistically than being in the head..., she willed herself into it, she will reap the consequences of her own actions.... I do believe in the saying that each one of us is entitled to make mistakes, not this kind of silliness...! She knows what she was getting herself into, let her learn the hard way.... what a perversed generation?
    2 hours ago via mobile · Unlike · 7
  • Wil Prince Lindalo Thanks wapendwa for engaging so passionately on this issue, will be speaking at the University of Dar Es Salaam in late January, I am convinced that this could be one of the topics I can easily get students to make exposés on..... We have a moral duty to educate our youth....
    2 hours ago via mobile · Unlike · 3
  • Mark Hussein Kapewa dhamana yupo free, ila wamemnyan'ganya passport yake, tunafanya mipango tumtoroshe muda si mrefu.
    about an hour ago via mobile · Edited · Unlike · 2
  • Mussa Amina Si waelewi watu wanaomtetea Huyu dada.. Je hayo madawa yangedhuru ama kuua wangapi??? Mmejiuliza hayo?? Si muombei kifo, ila apewe adhabu anayostaili ili iwe funzo kwa wengine. Kuna njia nyingi za kufafuta pesa bila kuangamiza maisha ya Jamii. I hope she gets what she deserve. Afungwe!!!!!
    about an hour ago via mobile · Like · 3
  • Kelvin Mtenga Sarafina I know. U work hard tena 24/7. Maybe overtime. And how do you feel when somebody just go and earn a dollar or wherever the currency is, on the sneak...is that fair?....remember this drugs got people lost their life ...mangwair,langa,d rob just...See More
    33 minutes ago via mobile · Edited · Like
  • Ally Aurora Parsalaw She Earns 45,000$ Dollars In 3 Days!... Go Ahead Bust Your Asses Of!... Nobody Gives A Fuck #TeamJackieCliff
    42 minutes ago via mobile · Like · 1
  • Kelvin Mtenga all that money in just three dayz and no taxes how beautiful this society is......hahaaaa
  • Kelvin Mtenga and drug trafficking is not hard working
  • Ally Aurora Parsalaw If You Think #DrugTrafficking Is A Bad Idea Try #Robbery#Prostitution And#Conning!... Don't Judge Behind Someones Decisions Their Is Always A Reason #TeamJackieCliff
  • Kelvin Mtenga mark Hussein mmtoroshe ili aje aendelee na ujinga huu hivi hii Tanzania yetu tunafikiria kwa kutumia nini jamani
    18 minutes ago · Like · 2
  • Naila Brown This strange world.
  • Ally Aurora Parsalaw Kuna Watu Wanafanya Mabaya Zaidi Ya Anayofanya #Jackie Lakini Kwa Vile She Is 100Times Famous Anaonekana Mmbaya... Acheni Itikadi Zenu Zilizojaa Chuki #TeamJackieCliff
    10 minutes ago via mobile · Like · 1
  • Wil Prince Lindalo " She earns $45,000 in 3 days" is that all?.... She can do better than that if she wants to.....
    9 minutes ago via mobile · Like · 1
  • Kelvin Mtenga ally all those u mention above are all illegal activities,I heard You are new talented mwanamitindo atleast u use your brain.I'm telling you if she gets out nobody will see her as role model as you claim
    9 minutes ago · Like · 1
  • Naila Brown Utoto mzuri sana.
    Just because someone is under twenty thinks they have a know it all attitude on drug trafficking. 
    Don't they use Facebook as ushahidi or something yet?
    6 minutes ago via mobile · Edited · Like
  • Ally Aurora Parsalaw Babe I Am Sorry! I Know How This Business Goes! I Know All The Ups And Downs So Don't Try Me!! #TeamJackieCliff
    • David Nasibu Very sad hi dunia hi inamambo
      6 hours ago via mobile · Like
    • Inkhosi Ya Makhosi Kama ni kweli apigwe tu, sheria ichukue mkondo wake. Kwani ndugu zetu wanaothirika na hayo madawa ya kulevya wanayoyaleta hapa TZ uhai wao sio wa thamani? Kwani ni kipi bora kunyonga muuaji mmoja na kuokoa ma milioni ya vijana hapa Tanzania??? Kwani huyo yeye ana uhai wa almasi au dhahabu hadi asinyongwe? Penye haki tuache unafiki. Hapa kwetu hata wakitajwa hawashughulikiwi, hiyo ndiyo dawa hakuna nyokanyoka...
      2 hours ago via mobile · Like · 2
    • Ally Aurora Parsalaw The Nerve Of Some Idiots  ... To Wish Death On Someone Else!... Kwa Taarifa Yenu, She Is Out And About!... Kanyang'anywa Passport And If She Is Found Guilty She Faces 2years In Prison Or 24,000hours Of Social Work #HowYouDoing Haters... #TeamJackieCliff
      about an hour ago via mobile · Like · 1


    Comments

    1. She's gonna be fine, she's strong woman

      ReplyDelete

    Post a Comment