PREZZO AFUNGUKA LIKE NEVER BEFORE KATIKA MDAHALO WA WIKI NA MWANAISHA CHIDZUGA WA KTN [VIDEO].

Baada ya maneno na matusi mengi hatimaye Prezzo ameamua kufunguka live kuhusu ma ex wake na First Lady wake wa sasa Stella aka my wii, my mdogo Chaggabarbie na kusema yeye ndo sabuni yake ya roho na huenda wakafunga ndoa hivi karibuni. Msikilize 

This is strictly presidential!

Comments