Ningependa kuanza na movie kabla ya muziki...japokua mwaka huu nimefanya vizuri sana katika muziki...basi kama kuna mtayarishaji wa movie anae tambua na kuthamini kipaji changu ni huyu ....nakushukuru sana kakaangu chekbud kwa kutambua umuhim wangu asante sana kaka ....nadhani kama ww nimshabiki wangu kwenye movie utakubaliana na hilo hakuna movie ya chekibudi mimi sipo...nakutakia kila lakheri brother. ....shukrani zinaendelea fuatilia ujue nani anafuata wako wengu kuna vitu vingi sana mtavijua ambavyo naamini hamjawahi kuvisikia mtavijua kupitia mtiririko huu wa shukrani.....
Alinipigia kelele sana nifanye muziki yalikua yanaingilia huku na kutokea kule.....najua utakua una jiuliaza kwann nimemuweka wakati alishafariki toka mwaka jana na shukrani nnazozitoa ni za mwaka huu...nimefanya hivi kwasababu ktk miaka yote mwaka huu ndio umekua wa mafanikio sana kwangu na sababu ni mziki ambao huyu ndio mtu aliekua akinipigia kelele sana nifanye sijui kwann sikumsikilizaga natamani angekuepo aone kile alichokua anakitamani aone watanzania na nje ya tanzania walivyonipokea vizuri...R.i.p brother. ....unajua sasa nani alifanikiwa kuniingiza kwenye mziki?fuatilia shukrani hizi....
Unaweza kurecod wimbo na ukajikuta unasikiliza mwenyewe tu nyumbani kama huna usimamiz mzuri....ndivyo ilivyonikuta mm kwenye wimbo wangu wa shogaake mama baada ya kufanya show na tunda ikawa basi haukuwahi kupelekwa hata redioni...sikukata tamaa nilihangaika kutafuta mtu wakunisimamia ndipo nikakutana na mtu huyu kabla ya kunikubali nilipewa mtihani kwanza nikaambiwa nifanye show zile za niwakati wako kumbuka hapo sina wimbo redioni ila niliwashika watu kutokana na show zangu nilizokua nazipiga nashukuru alinielewa sanaaa tukaanza taratibu kwanza tuliingia studio kurrecod ngoma mbili ambazo ni debe la vanga na majanga ndipo nikaingia rasmi kwenye muziki, tarehe 3 mwez wa pili mwaka huu ambapo debe la vanga ilikua video majanga ilikua audio hizi ngoma zilitoka kwa pamoja ila debe la vanga haikufanya vizuri sana kwasababu ilipelekwa tv tu na mambo ya digital ndio yalikua yashaingia...hk nimtu ambae ameuhangaikia na bado anauhangaikia sana mziki wangu jitihada zake ndio zimefanya niwe hapa nilipo halali mchana wa usiku kuhakikisha nafanya vizuri sijui nimshukuru vipi hk jamani ananihangaikia mm ....namuomba mungu afanye tuzidi kupendanda, kusikilizana, kuheshimiana, kuvumiliana, kuto sikiliza wabaya wanaotaka kututenganisha mm na manager wangu.... mungu akuzidishie kila la kheri manager wangu @hkhyper @hkhyper @hkhyper ...shukrani zinaendelea ..........
Sijasahau nakumbuka ulivyonipigania mamaangu...ukiiweka kazi yako pembeni ulikua mtu ambae unanipa moyo sana na kuniahidi nitafika nakweli ulipopatabili nimefika kiukweli unamoyo wa pekee ulitokea tu kunionea huruma na ulinipigania sana na mambo ya yalienda asante sana zamaradi mungu akubaliki sana @zamaradimketema @zamaradimketema .....fuatilia shukrani zinaendelea....
Natoa shukrani zangu za dhati sana kwa media zote Tanzania na nnje ya Tanzania kwa ku support mziki wangu...mmenifanya nipendwe , nikubalike, kazi zangu zipendwe zikubalike ,nipate show nyingi....nawashukuru sana kwa kuniunganisha vizuri na mashabiki wangu...mmeniweka pazuri ndani ya huu mwaka sina budi kuwashukuru.... na bado nategemea support yenu mwaka 2014 panapo majaaliwa safari yangu bado ndefu......... nasema asanteni radio zote...Tv zote...magazeti yote.....blog zote...napenda kuzishukuru club zote kwa kupiga nyimbo zangu...nawashukuru watangazaji wa radio zote na tv zote ...madj wa tv radio na club zote waandishi wa habari pande zote bila kuwasahau madj wakwenye mashughuli...ma mc pia nawashukuru kwa kunisherehesha na kuniongelea vizuri mnapokua kazini ......nawashukuruni sana sina chakuwalipa ila namuomba mungu awabariki katika kaz zenu....shukrani zinaendelea......
Comments
Post a Comment