VODACOM YAKABIDHI BODABODA MOROGORO.

 Meneja wa Vodacom Tanzania,Manispaa ya Morogoro Kamanda Kasapila[kushoto] akihakika kadi za pikipiki za washini wa bodaboda wanaoshuhudia kulia kabla ya kuwakabidhi washindi hao,waliojishindia katika promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na kampuni hiyo.
 Washindi wa nne wa Promosheni ya Timka na  Bodaboda kutoka wilaya mbali mbali za mkoa wa Morogoro'
Baadhi ya Washindi wa promosheni ya Timka na Bodaboda wakiwa juu ya pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa rasmi pikipiki zao na Meneja wa Vodacom Tanzania,Manispaa ya Morogoro Kamanda Kasapila[hayupo pichani] 

Comments